Saturday, 14 March 2015

Baba wa Mbinguni

Baba wetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako,
Wewe hulinganishwi, na yeyote duniani.

Baba, baba wetu eeehhh, tunaleta sifa kwako,
Wewe hulinganishwi, na yeyote duniani.


Makerubi na maserafi, wainama mbele zako.
Sisi wana wako, tunakupa sifa leo

2 comments:

  1. Hey George,glad to know somebody "tried" to post the lyrics for my song Baba yetu.
    The correct lyrics are:
    Baba Baba yetu eee
    tunaleta sifa kwako
    wewe hulinganishwi
    na yeyote duniani x 2

    Makerubi na maserafi
    wainama mbele zako
    sisi wana wako
    tunakupa sifa leo

    chorus: Ayee ayee ayee
    Ayee sifa ni zako
    Oyee oyee oyee
    Oyee Mungu wetu

    ReplyDelete
  2. Hello, please share if you know the mane of the original artist

    ReplyDelete