Friday, 27 February 2015

Worship Night Practice

Naliinua jina lako Yesu, Pokea sifa Nakuabudu (Repeat)
Nafsi yakuhimidi Ewe Bwana Mungu wangu (Repeat)


Wewe ni Bwana Juu ya mabwana ufalme wako wadumu milele....

nimesikia ukitajwa mitaani
nakanisani waziimba sifa zako
yasemekana wewe ni muweza yote
hakuna jambo lolote likushindalo
na shida zetu (unatatuaa)
na wagonjwa (wewe waponyaaa)
ata na wafu (umewafufuaaa)

nashangaaaaaa.....

wewe ni yule yule
mungu wa musa yule
na wa jakobo yule
anayeponya yule
anayependa  yule
mungu wa musa yule
na wa yakobo yule
anayeinua yule
anabariki yule
yule,yule,yule lelelele.
lelelelelle
haubadiliki kamwe

No comments:

Post a Comment